Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa.
Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa ameongea mambo mengi ikiwepo utenguzi wa aliyekuwa katibi wa Ccm Iringa sema sio hoja yangu
Hoja yangu kubwa ni kukiri kwamba
Vyombo vyote vya ulizi na USALAMA wa nchi yetu na.mimi nikaongeza Mahakama ni vyombo vya CCM.
Na hili ukilinganisha na hali ya siasa ya nchi yetu kwa sasa naa.kesi zote zilizopo zinazohusika na kuhatarisha uwepo wa CCM madarakani
Nataka kisema CHADEMA wanahaki ya kusema mahakama haik huru na kesi zao zote CCM inahusikaa.
Sasa njia pekee ya kuvinusuru VYOMBO VYETU VYA USALAMA NA KASHAFA HII PAMOJA NA MAHAKAMA WAJE.KWENYE PUBLIC WAKANUSHE HAYO MANENO YA NDUGU CHACHA.
LA SIVYO CHADEMA WAMEPATA USHAIDI MPYA MAHAKAMANI KWA.KESI ZOTE ZA WANACHAMA WAKE.
MAROBOTO MSIJE KUWEKA MSHAIRI YENU HAPA NTAWALIPUA