only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
..Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi ya Bakwata na kuwang'oa Mufti Simba pamoja na menejimenti nzima ya Bakwata.
Source: ITV
Source: ITV