Polisi kanda maalum: Tupo tayari kuilinda bakwata na viongozi wake....

Polisi kanda maalum: Tupo tayari kuilinda bakwata na viongozi wake....

sidhani kama bakwata iko pale kwa kuwatumikia waislamu mana inashangaza iweje tasisi binafsi zijenge mashule,hospitali na misikiti tena ya ghorofa kama hapa musoma halafu bakwata washindwe hv kunanini hapo siwatoke wasaidiwe kazi.
 
Naogopa kuchangia hoja za bakwata...inaonekana baraza haitaki 'anti bakwata' wachangie hivyo tuwachie bakwata yao , yaani jeshi la polisi,ccm,kanisa na vyombo vya habari,lakini waislam hilo zimwi si letu
 
wamekosa kazi ya kufanya hao,,,, wenye kiongozi wao hawamtaki sasa wao wanajishauwa nini kumlinda????
 
Back
Top Bottom