Huyo Kamanda Kova hatawaweza hawa jamaa hata kwa dawa. Mbona juzi walimfuata ofisini kwake na kwa mkubwa wake akanyweaaa? Ndiyo itakuwa kwenye ofisi za watu wanaozijua wenyewe. Hawa jamaa si wakuwatishia kwa hivyo vitaarifa vya kiitelijensia visivyokuwa na kichwa wala miguu.
View attachment 64872
Hili Baraza la Mafisadi Bakwata lazima litokomezwe, magamba wanalitumia sana kwa hawa Masheikhe njaa, naungana na Sheikhe Ponda kuandamana na kuhakikisha hiki kitendo kidogo cha CCM kinavunjwa. Tunataka Baraza litakalo simamamia haki za waislamu.
..Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi ya Bakwata na kuwang'oa Mufti Simba pamoja na menejimenti nzima ya Bakwata.
Source: ITV
oooohh kumbe kesho ni ijumaaa
mkuu kesho ni ijumaa, naambiwa hapa hawa jamaa kesho wanawapiga changa la macho polisi kwamba wanaenda bakwata ili polisi wengi walinde bakwata, ila lengo lao ni kwenda ubalozi wa marekani ,then baraza la mitihani NECTA.
Mimi ninawasiwasi na huyo Kova, mbona anaonekana kama ni mfuasi wa kameruni kwa jinsi alivyo?
BAKWATA ni nani hadi serikali iwang'ang'anie, wana bilioni ngapi? radio imani inatosha kwa kueneza chuki, eti waislam wanalazimisha NECTA wawape wanafunzi wa kiislam maksi hata kama wameandika madudu?
Hatushangai maana Bakwata ni chombo cha serikali ambacho kimeanzishwa kama mwakilishi wa seirkali kwa Waislaam. Mamlaka ya Mufti ni sawa na ya RC wa mikoani ila yeye yupo kitaifa hasa ukizingatia Mufti huchaguliwa na rais. Je rais akiwa baniani itakuwaje?..Hii haikubaliki na kinyume cha dini na hata kikatiba - Serikali haina dini...Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi ya Bakwata na kuwang'oa Mufti Simba pamoja na menejimenti nzima ya Bakwata.
Source: ITV
Hatushangai maana Bakwata ni chombo cha serikali ambacho kimeanzishwa kama mwakilishi wa seirkali kwa Waislaam. Mamlaka ya Mufti ni sawa na ya RC wa mikoani ila yeye yupo kitaifa hasa ukizingatia Mufti huchaguliwa na rais. Je rais akiwa baniani itakuwaje?..Hii haikubaliki na kinyume cha dini na hata kikatiba - Serikali haina dini.
Ni muendelezo wa harakati dhidi ya chama tawala na Bakwata haitakwisha hadi kieleweke..Mkandara, aslyam alleykum my friend. What are you going to do now?
hawawezi kubadilika kwa sababu si fikra zao bali ni fikra pandikizi... wanachoambiwa hata kama kiko tofauti na wanachoona wao husema walichoambiwa!! Yaani!! Mbona wale wanaopata 0 au kwenda secondary bila kujua kuandika huwa hawaandikwi majina yao na dini zao??? hilo hajawahi kuuliza nadhaniNani kakwambia wanataka wapewe marks bila sababu? Usikurupuke jaribu kutafuta source ndo utajua ni ki2 gani kimefanywa na Necta kwenye pepa la islamic knowledge. Kama hujui basi serikali ilishaomba msamaha kwa uzembe uliofanyika sio unapanda jukwaani bila kujua kinachojadiliwa jipange next tym ubadilike.
..Kamanda Kova kasema kuwa wako tayari kuilinda Bakwata na viongozi wake au taasisi yoyote ya dini au kisiasa. Hii ni kufuataia vuguvugu la kundi la Sheikh Ponda aliyetangaza kwenda kuvamia ofisi ya Bakwata na kuwang'oa Mufti Simba pamoja na menejimenti nzima ya Bakwata.
Source: ITV