Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

Hotel mpya nayo inajengwa fasta, ghorofa jipya nalo linaota kwa ufadhili wa wahalifu
 
Tulitoa tahadhari kwa majambazi baada ya kauli ya Mh SSH ,watakula vyuma sana wasipoacha ujambazi ,dawa ya jambazi hakuna kujadiliana nae ni kumlisha chuma tu na mtandao wao wote.
Pia tujiulize kwanini wauawe baada ya kauli ya SSH?
Kabla ya kauli walikuwa wanawaogopa au walikuwa na mgawo?
 
Pia tujiulize kwanini wauawe baada ya kauli ya SSH?
Kabla ya kauli walikuwa wanawaogopa au walikuwa na mgawo?

Nahisi vyombo vya dola walijisahau wakadhani tayari washamaliza kazi,mama SSH kama kawakumbusha majukumu yao,ujambazi ulipungua kwa sababu wengi walikula vyuma....Dawa ya jambazi ni kula chuma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…