falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Vibali vimekamilika tairi mp hazina hata mweziPole sana Mkuu, Vipi dereva alifanikiwa kupata no za usajili wa hilo gari la polisi ili upate pa kuanzia?
Ila pia hakikisha gari lako halina shida yoyote la deni la faini wala mapungufu mengineyo usije ukashangaa unalipa wewe huko polisi ukienda kufuatilia
Wamenikera sana aisee bora angekuwa raia wa kawaida aiseeMa mwera ningekuwa Mimi ningezaa nao ambavo siwakubali
Jiue mkuu ili ukapate mbinguni bikra 72.Habari wakuu
Jioni hii ya saa moja dereva wangu amenipigia simu kuwa gari la polisi wamegonga gari langu kwa kupiga pasi
Gari langu linalofanya kazi ya daladala kati ya mbezi na mlandiz jioni hii limepigwa pasi baada yagari la polis kulazimisha kupita upande wa kushoto(service road)
Hapa nilipo nina hasira sana
Je ni hatua gani naweza kuchukua kama mmiliki,garila polisi halikusimama
Maarifa yako madogoJiue mkuu ili ukapate mbinguni bikra 72.
Basi nenda ukatoe report mkuu hawako juu ya sheria hao kama wamefanya kosa hilo la barabaraniVibali vimekamilika tairi mp hazina hata mwezi
Huyu anatafutwa na Polisi tangu 2015 nafikiri wamefanya makusudi ili aende mwenyewe!😛Basi nenda ukatoe report mkuu hawako juu ya sheria hao kama wamefanya kosa hilo la barabarani
Kama ana uthibitisho nenda kwenye law firm nzuri fungua kesi.Habari wakuu
Jioni hii ya saa moja dereva wangu amenipigia simu kuwa gari la polisi wamegonga gari langu kwa kupiga pasi
Gari langu linalofanya kazi ya daladala kati ya mbezi na mlandiz jioni hii limepigwa pasi baada yagari la polis kulazimisha kupita upande wa kushoto(service road)
Hapa nilipo nina hasira sana
Je ni hatua gani naweza kuchukua kama mmiliki,garila polisi halikusimama
Acha kumpotezea muda wake bure! Kesi ya traffic???!!Kama ana uthibitisho nenda kwenye law firm nzuri fungua kesi.
Ukishinda kesi Fidia dai si chini ya 100mil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii hii mkuu? Kweli nanusa harufu ya upepo wa pesa!.Kama ana uthibitisho nenda kwenye law firm nzuri fungua kesi.
Ukishinda kesi Fidia dai si chini ya 100mil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuja ambiwa ulichukua hatua gani Jombaa. Ulipotezea?Vibali vimekamilika tairi mp hazina hata mwezi