falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Habari wakuu
Jioni hii ya saa moja dereva wangu amenipigia simu kuwa gari la polisi wamegonga gari langu kwa kupiga pasi
Gari langu linalofanya kazi ya daladala kati ya mbezi na mlandiz jioni hii limepigwa pasi baada yagari la polis kulazimisha kupita upande wa kushoto(service road)
Hapa nilipo nina hasira sana
Je ni hatua gani naweza kuchukua kama mmiliki,garila polisi halikusimama