lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
- Thread starter
-
- #21
Sina hakika mkuu lkn nilipofika wao dawati lao liko nje ya kituo sasa sijajua ni kitengo maalum au kimekuwa combined na vitengo vya matukio mengine au vpHivi huwa kina kitengo cha loss report, au kitu hiki huwa kinafanywa na polisi yoyote anayehusika kama ilivyo katika kukamata wahalifu?
Inaweza ikawa ni special unit kwa ajili ya kitu kingine kabisa isispokuwa sasa hawawezi kuacha ktoa loss report kwa sabubu nayo pia ni mojawapo ya kazi zao. Polisi hawawezi kujitenga sehemu fulani kwa ajili ya kutoa loss report tu, lazima kuna kitu kingine kikubwa wanafanya.Sina hakika mkuu lkn nilipofika wao dawati lao liko nje ya kituo sasa sijajua ni kitengo maalum au kimekuwa combined na vitengo vya matukio mengine au vp
Online utapata loss report kwa mali zote isipokuwa simu ya mkononi, hii haitoki pale, unalipa lakini haitoi ripoti.Loss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Line za sim, wallet na mali nyingine sawa utapata loss report bila kwenda polisi, lakini ikiwa iliyopotea ni simu ya mkononi, loss report yake huipati online aisee inakataaWewe ndiyo unamatatizo. Siku hizi loss report inapatikana online na huna sababu ya kwenda kuomba wakupe loss report.
Infact wewe ndiyo ulitakiwa uende na loss report central maana ungeweza kuioatabhata mtaani kwa kufuta procedure zao mtandaoni. Pale central lazima wangekuzungusha maana nao ninwanadamu na huu mfumo umewekwa ili watu wasiende pale. Kitenda cha kwenda pale ni kuwasababisha hata wawaombe rushwa kwa kitu amacho hata kwa kuazima simu ya jamaa yako ungefanumikisha mwenyewe.
Acha uongo wewe, kama wewe ulienda polisi ni uzembe wako mi nilitoa bila kutimba polisisio kweli haipiti ni mpaka uende polisi baada ya kulipia ile control number kule ukimaliza ndio utaweza kuiona online na kuidownload ..
Loss report ya kupotea kwa simu? Yaani ulijaza IMEI na ukapata loss report online moja kwa moja bila kwenda polisi?Acha uongo wewe, kama wewe ulienda polisi ni uzembe wako mi nilitoa bila kutimba polisi
Polis lazima uende ili ku verify bila hivyo huwezi ipata utaambiwa tu not approvedLoss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polis
Si kweli, unamaliza mwenyewe kila kituhuwezi kuprint mpaka uilipie na uende kituoni kuiverify na kuipitisha ndio utaweza ku view na kuishusha
Inategemea na mali iliyopotea mkuuSaizi kila kitu online, haina haja kwenda police, kwaajili ya loss report kuna watu wapo karibu na vituo vya Police wamepata fursa, wanakujazia online 2500,nimewaona hapo Msimbazi kkoo karibu na kituo ,wanawasaidia wale wenye vitochi na wasiojua kutumia computer
NdiyoLoss report ipo online ni wewe tu tena ukitumia namba ya nida inapita hakuna haja ya kwenda polisi.
Mi nimezungumzia kurenew laini, ambalo ndiyo linajaza watu vituoniInategemea na mali iliyopotea mkuu
Sio lazima, labda kama utahitaji rb kwaajili ya ufuatiliaji wa vitu vyako na muhusikaPolisi lazima uende ili waithibitishe na wakuruhusu ku print.
Ila unaanza kufanya online.
Kwenda polisi sioni kama ni uzembe mkuu kumeharibika sana unaweza ukaibiwa line asubuhi ikaenda kupiga tukio huna hili wala lile unashangaa pingu papu!..mbaya zaidi hujareport hapo ndio utajua kwnn Makufuli aliitwa pombe....hata ukija kutoka ushapoteza muda na fedha juu...VP kama ulireport? Msala unakuwa mwepesi sio uzembe hata kidogo.Acha uongo wewe, kama wewe ulienda polisi ni uzembe wako mi nilitoa bila kutimba polisi
Kama ni lazima kwenda polisi haina msaada mkubwa. Vituo vya polisi kuna uzembe mwingi. Hata karatasi za kuandika taarifa unapewa moja unaambiwa ukatoe nakala kumi.Polisi lazima uende ili waithibitishe na wakuruhusu ku print.
Ila unaanza kufanya online.
Cyber crime utafutaji simu ni dili zuri sana kwao. Huzifuatilia simu na pindi wakizipata humbandika mtu kesi ya mauaji. Kujinasua hapo ni mamlioni ya shilingi. Mpotezaji hudaiwa, anaepatikana nayo ni balaa.Huko Polisi mambo mengi wanaanzisha siyo kwasababu ya kusaidia wananchi ila ni kutengeneza ulaji kwa polisi, jiulize kwanini simu zinaibiwa kila siku hazikamatwi na kitengo cha cybercrime kipo? Wanafanya kazi gani?
Kule Morogoro askari mmoja alianza kumtaka binti kimapenzi baada ya kumwomba amsaidie kutrack simu yake, binti alivyoona yamekuwa hayo aka surrender simu
Kuna mtu alisema simu zinazoibiwa askari wanazifuatilia wanazichukua wao