Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Huu mji mgumu sana.
Foleni zimekua tatizo sana kwa Dar kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Sasa vijana wa bajaji na daladala wanaongeza ugumu wa ili tatizo.
Angalia kwenye vituo vya daladala mfano riverside au Morogoro rd kwote kwenye vituo vya mwendokasi. Bajaji na daladala wanatabia ya kuziba kabisa barabara wakati wanashusha, wanapakia au wanasubiria abiria.
Hii inapelekea foleni kali sana kwa nyuma wakati mbele kweupe kabisa.
Muda haya yanatokea polisi hawapo kuongoza ila pita barabara ya mwendokasi uone. Hutajua walipotokea utakua hawa hapa.
Hii kadha ipo mida ya asubuhi na jioni wakati wa rush hour.
Changamoto ya barabara kutokua na vituo vya daladala inajulikana, lakini bado kuna jinsi mnaweza kusaidia hii kero.
Najua polisi mnakuaga humu, lichunguzeni ili na kulifanyia kazi.