Polisi kituo cha kati badilikeni

Polisi kituo cha kati badilikeni

MGOGO27

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
459
Reaction score
218
Habari wanajamvi/wakuu wote humu ndani tunapoweza kuongea bila mipaka

Dodoma mjini kituo cha kati kumekuwa na tabia mtu akikamatwa na kuigia Sero za pale ukiwa na VIATU VIZURI(havijachakaa,bado vipya)siku ukitolewa iwe ndo unapelekwa MAHAKAMANI AU MZAMANA wakawaida hauvikuti vile viatu na wataanza kukwambia msubiri aliyekuwa ZAMU wakati unaingia sero,hata ukipanda ngazi za juu majibu ni hayo hayo na hata ukifatilia utaishia patupu mwisho wakikukalili wanaanza kukataa kukusikiliza

Nawashauri wabadilike na kama mtu anajua namna ya kuwashughulikia naomba anielekeze iwe msaada hapa mjini
 
Back
Top Bottom