frankkaliza
New Member
- Jan 9, 2025
- 3
- 0
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za usafiri wa bodaboda kufika nyumbani kwa watu kuwakamata na kuwachulia ….INAKERA SANA TANZANIA BILA YA RUSHWA INAWEZEKA.