Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Salamu

Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu

Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi

Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado ina halalisha aliofanyiwa?

Kweli mna silaha mmeshika kwenye mpini,ficheni aibu basi kwenye mambo kama haya
 
Wana hata hiyo akili ya kung'amua hilo?
Ni watu wa kupangiwa baadae zigo linawaangukia wao wanaanza kutumia miguvu, maana akili iliwashinda!!
 
Yaani kama amelewa wafiche kwamba alikuwa sober?Mantiki ya hoja yako nini?Kuficha ulevi wa Padri?Au ulitaka waseme uongo kwamba alikuwa anakunywa juice?Kwani Polisi wamesema kwamba kwa kulewa anastahili alichofanyiwa?Au ni assumption yako tu.Na ume assume hivyo ili iwe nini?
 
kumbuka ni form4 failures utawaonea tu bure,wako na poor logic and resoaning saa hii wanahaha washike lipi
 
Polisi ni wapumbavu sana kwa kweli. Hakuna umuhimu wowote
 

Hiyo ni Propaganda za hadaa (Deceiving Propaganda) Ili kutengeneza Mazingira kwamba Watu waamini kuwa Padre Kitima ameshambuliwa na Mtu mlevi mwenzake ambaye alikuwa naye pamoja wakipiga ulabu
 
Hata kuchangia nashindwa!
 
Haihusiani, ameshambuliwa, hakushambulia....kama angeshambulia, pengine sababu ya kusema alipata kinywaji inaweza kuwa na mashiko.

Kuna mdada amepoteza namna gani baada ya ku-manara kuwa taita wake anakula ngumu kumeza, basi yuko nje ya uwanja, sasa ukihusianisha ngumu kumeza na yaliyolalamikiwa na mdada mwenyewe, ni wazi pengine malalamiko hayo ndio yanasababishwa na ngumu kumeza! Mbona hamsemi!
 
nchi hii hatuna polisi

tuna walinda CCM
 

Kupata Kinywaji ni general ,kwani kinywaji ni Pombe?
 
ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…