Taarifa yao imeonesha kuanza kuficha ukweli mapema😀Salamu
Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu
Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi
Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado ina halalisha aliofanyiwa?
Kweli mna silaha mmeshika kwenye mpini,ficheni aibu basi kwenye mambo kama haya
Sasa hutaki waseme alikuwa amekunywa? Huo ndio ukweli amepigwa akiwa kwenye ulevi kwenye Mgahawa hapo TEC.Salamu
Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu
Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi
Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado ina halalisha aliofanyiwa?
Kweli mna silaha mmeshika kwenye mpini,ficheni aibu basi kwenye mambo kama haya
Wakatoliki kwa Pombe sio haramu. MmelikorogaSio siri alikuwa anatandika pombe
Mlitaka Polisi wafiche wakati wenyewe mnajifanya kuwa ukweli lazima usemwe?
Mlitaka polisi wafiche kuwa Padre Kitima hakuwa anatandika pombe?
Labda mzinzi!!?Walitaka kusema ni ugomvi binafsi
Kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake bado mufti....Nyama ya binadamu tamuviongozi wa dini nao wamefikiwa.
shida haiko kwa muliro pekee, ni Taasisi yote imekaa kiboya kukubali kuburuzwa na wanaccmWamtoe tuu huyu muliro anamchafua Hali ya Hewa!
muft KitengoKila mmoja atafikiwa kwa wakati wake bado mufti....Nyama ya binadamu tamu
Tusubiri waanze kulana
Amelikoroga mwenyewe Kitima si umeona katandikwa sijui alikuwa na mke wa mtu hapo mgahawani.Wakatoliki kwa Pombe sio haramu. Mmelikoroga
Siyo Muliro bali huyo mlevi Padre Kitimashida haiko kwa muliro pekee, ni Taasisi yote imekaaje kiboya kukubali kuburuzwa na wanaccm
Tulia TEC wamemchoka huyo ukiona hivyoKupata Kinywaji ni general ,kwani kinywaji ni Pombe?
😃😃Ila nyie jamaa.Amelikoroga mwenyewe Kitima si umeana katandikwa sijui alikuwa na mke wa mtu hapo mgahawani.
Hiyo Kesi dawa yake upelelezi wa polisi ukikamilika ipelekwe mahakamaniSasa kama alikuwa anapata kinywaji ulitaka polisi wasemeje? mgahawani si kunauzwa vinywaji? Au umejisikia tu kutukana jeshi la polisi?
Tulia TEC wamemchoka huyo ukiona hivyo
Ukiona taarifa zime leak ujue wamechoka naye walikuwa wanatafuta ushahidi na namna ya kumpiga chini
Kadhalilisha kanisa Katoliki. Vyote vyaweza kuwa inside jobs vya ku deal naye.
Atapigwa chini kuokoa hadhi ya kanisa katoliki lisichafuke kwa mikashifa yake polisi wakizama deep kwenye upelelezi na kupeleka mahakamani kesi
Kanisa katoliki siku zote halikubali lichafuke kwa padre mmoja mchafu huchukua hatua haraka dhidi ya padre mhusika ku save image ya kanisa
Subiri kesi iende mahakamaniTEC wamemchoka kivipi wakati anachaguliwa? Subiri taarifa za polisi kuhusu waliomshambulia.....
Kupata kinywaji....Vinywaji vipo vingi sana! Muliro aweke wazi kuondoa mkanganyiko!
Subiri kesi iende mahakamani
Kabla kwenda mahakamani TEC waweza mpiga chini huyo Padrre Kitima
Kuchaguliwa kwa sheria za kanisa (Canon Law) sio kuwa huwezi tolewa.Hakuna kitu kama hicho.Ukichemka unatokewa.Hasa kuchemka kama kutaharibu image ya upadre na Kanisa na ushahidi ukawepo.
Polisi songeni mbele kujaza ushahidi faili la kesi kisha pelekeni kesi mahakamani
Mbivu na mbichi zitajulikana mahakamaniMkuu TIMAMU kweli? Sasa mtu yupo kwenye makazi yake ,jioni ameenda canteen kupata kinywaji(hapa muliro hakusema ni kinywaji gani) ,anavamiwa na kujeruhiwa then wewe unakuja unasema anachafua kanisa ,how?
Mtu ambaye anaendelea kuchaguliwa inakuwaje useme wamemchoka? Kura hazisimamiwi na NEC ya sisiemu tambua.
Labda alikuwa na mke wa mtu!Mkuu TIMAMU kweli? Sasa mtu yupo kwenye makazi yake ,jioni ameenda canteen kupata kinywaji(hapa muliro hakusema ni kinywaji gani) ,anavamiwa na kujeruhiwa then wewe unakuja unasema anachafua kanisa ,how?
Mtu ambaye anaendelea kuchaguliwa inakuwaje useme wamemchoka? Kura hazisimamiwi na NEC ya sisiemu tambua.