Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?



Polisi ya Mulilo ipo kwa interest za kidini na kiti cha Samia na vyeo vyao full stop sio siasa wala usalama wa watu na mali zao wala jeshi hilo lenyewe.

Tunataka taarifa ya daktari kama Padri kitima alikua amelewa maana hakuna kinywaji kingine cha kunywa masaa manne .
Kama padri hakulewa basi maaskofu wote na wachungaji na mapadri na wakristo wote wapenda amani na haki waandamane kushinikiza Uongozi wote wa jeshi la polisi na waziri wake waondolewe kwa kusababisha maafa na kutoa taarifa za uongo mara kwa mara huku wakijenga chuki za kidini na kisiasa .

Huyu mama na Wale aliwateua kwenye hiyo wizara hana utu kabisa .
 
Wanatengeneza mazingira ya wananchi tuone alikuwa bar analewa..!!
 
Most likely polisi inabidi wabadilishwe tu
 

Huyo Muliro ni shetani tu hilo. TEC wamekanusha kuwa ndani ya eneo hilo hakuna baa.
 
Ni wao, ni wao , ni wao
 
1️⃣ Taarifa ya polisi imetokana na maelezo yaliyotolewa na kitima mwenyewe.
2️⃣ Kulingana na imani ya kanisa katoliki kunywa pombe si dhambi kwakuwa " kimwingiacho mtu si dhambi bali kitokacho" kwahiyo kitima kunywa pombe sio jambo la aibu.
 
Huyo Muliro ni shetani tu hilo. TEC wamekanusha kuwa ndani ya eneo hilo hakuna baa.
Kuna Mgahawa unauza pia bia acha uongo. Pia polisi hawajasema alikuwa anakunywa bia nyinyi ndio mnakimbilia kwenye bia wao wamesema alikuwa ana kunywa inawezekana ni juice, maji au hiyo bia.
 
Huyo Muliro ni shetani tu hilo. TEC wamekanusha kuwa ndani ya eneo hilo hakuna baa.
Maelezo ya kamanda Muliro yametolewa na kitima mwenyewe. Aliyekanusha maelezo ya polisi ni rais wa tec ( askofu pizza) ambaye kwa Sasa yupo Italia kwahiyo kama si kweli itakuwa kitima kalidanganya jeshi la polisi.
Lakini pia maelezo ya rais wa tec ( nasikia wanamuita pizza ) yanaibua sintofahamu kama ifuatavyo:
1️⃣ Kuanzia saa Moja jioni hadi saa 4:15 usiku kitima alikuwa anafanya kazi gani mgahawani?!
2️⃣ Ikiwa kuna kazi za ziada kwanini asizifanyie nyumbani badala ya kufanyia kazi mgahawani hadi saa 4 usiku?!
3️⃣ Ni utaratibu wa kawaida kwa kitima kufanya kazi hadi saa 4 usiku?!
4️⃣ Taarifa ya polisi inasema kitima alivamiwa akiwa maliwatoni , taarifa ya pizza inasema alivamiwa akiwa kwenye kichochoro ambacho hakina mwanga akielekea nyumbani, SWALI ni kwanini kitima apite vichochoroni badala ya kupita sehemu zenye mwanga na usalama wa kutosha ikiwa pamoja na CCTV camera?!
5️⃣ Taarifa ya Sudi Mnete wa DW inaeleza kuwa eneo hilo la kurasini wanapoishi maaskofu Kuna uzio mkubwa , gate kubwa na mlinzi, je watu waliomshambulia kisima mida ya saa 4 ambapo watu wengi Bado hawajalala, waliingiaje kwenye makazi ya maaskofu na kuondoka bila kuonekana pamoja na ulinzi uliopo?!

MAONI YANGU.

SHAMBULIO DHIDI YA KITIMA NI IGIZO LA KITOTO AMBALO LIMEFANYWA NA TEC WENYEWE KWA NIA YA KUTAKA KUICHAFUA SERIKALI japo naona kuna baadhi ya hatua ambazo wameishajichanganya na muda sio mrefu wataumbuka!
 
Reactions: UCD
"Njia ya muongo ni fupi".tusubiri waraka kutoka sehemu ya tukio.Mwenye kuelewa ataelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…