Polisi kupiga na kuwatupa Watu maporini: Nchi imeingia kwenye State Terrorism?

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.

Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.

State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism

State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.

Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.

State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.

Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.

Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?

Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?

Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
 
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM? vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?
Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
wabibi wa kulea wajukuu nyumbani kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria ni uongozi wa chadema taifa kukosa nidhamu na huruma kwa wazazi wa watu na bibi wa wajukuu nyumbani.

msiwavimbishe wabibi wa watu kwa kuwaita makamanda ili wakashiriki fujo na hatimae kuumizwa vibaya na pengine kupoteza maisha kabisa kilofa na hatimae kupeleka zawaidi ya msiba kwenye familia na wajukuu zao.

Tafadhali msirudie hata siku ingine tabia hiyo mbaya kutumia wazazi na mabibi za wajukuu wa watu kama shield kwa manufaa ya kutimiza azma zenu binafsi kisiasa na familia zenu.
sawa gentleman? :BASED:
 
Mtaje japo mtu mmoja ama aliyekuwepo mahakamani au aliyekuwa akielekea mahakamani ambaye alikamatwa na polisi magaidi, ambaye alikuwa anafanya fujo. Itaje pia na hiyo fujo aliyokuwa akiifanya. Ukishindwe, jiambiwe moyoni. , "mnafiki mimi, shetani amenifanya kuwa wake, na sasa ananitumia. Ndiyo maana nimelaanika mimi na uzao wangu"
 
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.

Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.

State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism

State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.

Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.

State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.

Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.

Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?

Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?

Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
Nani na nani katupwa porini
Tupe list

Tofauti na hivyo, ondoa hii takataka
 
Nani na nani katupwa porini
Tupe list

Tofauti na hivyo, ondoa hii takataka
SWali lako ni takataka. Ishughulishe akili yako. Zile threads ziluzoorodhesha walioteswa na kutupwa Bagamoyo, na zile za waliotupwa Mabwrpande ambao mpaka sasa wapo hospitali Mwananyamala, hukuziona, au ushetani ndio unaokufanya uulize maswali ya kipuuzi?
 
Mtaje japo mtu mmoja ama aliyekuwepo mahakamani au aliyekuwa akielekea mahakamani ambaye alikamatwa na polisi magaidi, ambaye alikuwa anafanya fujo. Itaje pia na hiyo fujo aliyokuwa akiifanya. Ukishindwe, jiambiwe moyoni. , "mnafiki mimi, shetani amenifanya kuwa wake, na sasa ananitumia. Ndiyo maana nimelaanika mimi na uzao wangu"
walioumizwa wote walikua wameandaliwa kuleta fujo, vurugu na uporaji wa mali na biashara za watu katikati ya jiji,

wakati wakijiandaa kufanya uhalifu huo ndipo sasa wakakutana na mkono wa chuma ambao hawakufurukuta wala hawakufua dafu kuukwepa bali kuchezea kipigo cha mbwa koko, ila sio zaidi ya kile alichotembezewa Sigrada Mligo na walinzi binafsi katili sana wa heche 🐒
 
wakijiandaa kufanya uhalifu huo ndipo sasa wakakutana na mkono wa chuma ambao hawakufua dafu kuukwepa bali kuchezea kipigo cha mbwa koko, ila sio zaidi ya kile alichotembezewa Sigrada Mligo na walinzi binafsi katili sana wa heche 🐒

Mwendawazimu wa akili, thread haikuhusu. Unataka mpaka nikublock ndiyo ujue kuwa nahitaji watu wenye akili timamu tu kuchangia mada niziletazo?
 
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.

Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.

State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism

State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.

Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.

State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.

Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.

Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?

Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?

Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
Mkuu tuisha fika , na hii ni fact ya kuburuza watu ICC, ushahidi wa kutosha upo
 
Hawa wapumbavu Mungu kawapiga upofu wamejiumbua wenyewe kuwa kweli ndiyo wanateka watu na kuwaua kisha kwenda kuwatupa maporini. Mungu kawapiga upofu wakafanya yale waliyokuwa wanafanya gizani wakayafanya mchana wa jua kali,yaani wamekwenda kuwatupa majeruhi kwenye chaka lile lile walilomtupia Marehemu Ally Kibao. Mungu kawaumbua sana hawa majambazi wa Mama
 
Mwendawazimu wa akili, thread haikuhusu. Unataka mpaka nikublock ndiyo ujue kuwa nahitaji watu wenye akili timamu tu kuchangia mada niziletazo?
relax gentleman,
huo ni uamuzi wako binafsi na kwa faida yako,

binafsi sihusiki na block yako hata kidogo ndugu mropokaji.
Na hunizui kusema ukweli kwa block dhidi ya nonsense yoyote humu jukwaani 🐒
 
walioumizwa wote walikua wameandaliwa kuleta fujo, vurugu na uporaji wa mali na biashara za watu katikati ya jiji,

wakati wakijiandaa kufanya uhalifu huo ndipo sasa wakakutana na mkono wa chuma ambao hawakufurukuta wala hawakufua dafu kuukwepa bali kuchezea kipigo cha mbwa koko, ila sio zaidi ya kile alichotembezewa Sigrada Mligo na walinzi binafsi katili sana wa heche 🐒
Hivi wewe jamaa ni mtu au riboti lililoundwa kuwa kinyume cha utu?
 
Chadema ni watu wa aina gani gentleman, hata kufikia mahali kumchochea mbibi akafanye fujo badala ya kulea wajukuu nyumbani?

kwanini hamna heshima kwa wazazi na mabibi wa wenzenu?🐒
 
uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini.

Utawala wa madiktekta uchwara hapa Tanzania una kopi na ku paste yafuatayo kutoka tawala za ma dictator:

NJAMA KUBWA ZA VYOMBO VYA USALAMA DHIDI YA WAPINZANI / RAIA HURU HUKO LATIN AMERICA (CHILE)

Operation Condor​

A criminal conspiracy to forcibly disappear people​

1. COORDINATED REPRESSION
2. CONDOR I, II AND III
3. ORLETTI II
4. SOME OF THE STORIES TOLD DURING THE TRIAL
5. THE RIGHT TO TRUTH
6. THE ACCUSED AND THE VICTIMS
7. THE VERDICT

Nosotros no sabíamos | León Ferrari

Within the context of Operation Condor, the coordinated repression passed through different phases:

-In the first, a centralized database was created on guerrilla movements, left-wing parties and groups, trade unionists, religious groups, liberal politicians and supposed enemies of the authoritarian regimes involved in the operation.

-In the second, people considered political “enemies” at the regional level were identified and attacked.

-In the third and final phase, operations were carried out to track down and eliminate persons located in other countries in the Americas and Europe.

The declassified documentation available shows that various US government agencies had early knowledge of the scope of the repressive coordination and did not make much effort to stop it until it had reached the third phase, which proved the most problematic because the operations could no longer be kept under wraps

READ source : Operation Condor

trialinternational.org
Augusto Pinochet-Ugarte

6 Nov 2012 — The mental state of General Pinochet however was still subject to controversy at the time. 2. Second case: «Operation Condor

Operation Condor (case closed on 17 June 2005)

Acts of torture, abductions, forced disappearances and summary executions were committed during the dictatorship.

The elected government which succeeded Pinochet published, on 4 March 1991, an official report listing 3,197 deaths and 967 disappearances during the 17 years of Pinochet’s presidency.

The National Commission on Political Imprisonment and Torture, set up in August 2003, transmitted to President Ricardo Lagos, on 11 November 2004, a report indicating that torture was practised systematically under the Pinochet regime.

More than 200 criminal complaints were filed against Pinochet in Chile by close relatives of the victims. The proceedings, conducted mainly by Judge Juan Guzman Tapia, were based on two events.

First, the abduction of 75 political opponents followed by the summary execution of 56 of them and the disappearance of 19 others:

these acts were committed by a military unit known by the name of the “Caravan of Death” which criss-crossed the country in the months following the coup d’état.

The second event related to the so-called “Operation Condor”, a quasi network of all the Secret Services of the South-American dictatorships (Argentina, Bolivia, Brazil, Chile, Paraguay and Uruguay) whose purpose was to eliminate political opponents abroad.

The Chilean Secret Service (the DINA), under the command of Manuel Contreras, a close ally of Pinochet, was thought to have played an important, if not fundamental, role in promoting this project.

Manuel Contreras was judged and convicted in Chile. It was during his trial in 1997 that Pinochet’s responsibility as the real head of the DINA became apparent.

READ MORE : Augusto Pinochet-Ugarte - TRIAL International

https://www.latinamericanstudies.org › ...
Operation Condor - LatinAmericanStudies.org

Operation Condor was an intelligence organization in which multinational teams tracked down dissidents outside their home countries, captured and

MATUKIO YA UTEKAJI NA KUTUPWA PORINI TANZANIA, KESI YA KISUTU
1745696387181.jpeg

1745696604405.jpeg

1745697136317.jpeg
 
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.

Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.
Ukimuuliza Samia habari hizi, bila shaka atakueleza kwamba hajawahi kusikia matukio ya aina hiyo yakitokea ndani ya nchi anayo iongoza, ndiyo maana hana muda hata wa kugusia jambo kama hilo katika hotuba yake!

Lakini hata kukana huko ambako hakushangazi kwa ulaghai mwingi anaojulikana kuwa nao; bado anakosa aibu ya kuzungumzia anaowaita yeye "wavunja sheria", na hao "wanaolinda sheria" haoni kabisa kuwa wanavunja sheria. Mtu wa aina hii ndiye anayejitambua kuwa kiongozi wa nchi?

Samia sasa hivi hakuna lolote tena analo lisubiri mbali ya kutumia mabavu kubaki madarakani. Hivi vitisho anavyotumia sasa hivi ni maandalizi tu ya mtafaruku utakaofuata kadri tunavyoelekea Oktoba.
huyu atatuletea matatizo makubwa safari hii.
 
wabibi wa kulea wajukuu nyumbani kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria ni uongozi wa chadema taifa kukosa nidhamu na huruma kwa wazazi wa watu na bibi wa wajukuu nyumbani.

msiwavimbishe wabibi wa watu kwa kuwaita makamanda ili wakashiriki fujo na hatimae kuumizwa vibaya na pengine kupoteza maisha kabisa kilofa na hatimae kupeleka zawaidi ya msiba kwenye familia na wajukuu zao.

Tafadhali msirudie hata siku ingine tabia hiyo mbaya kutumia wazazi na mabibi za wajukuu wa watu kama shield kwa manufaa ya kutimiza azma zenu binafsi kisiasa na familia zenu.
sawa gentleman? :BASED:
Hadi unatia huruma!
 
Back
Top Bottom