wabibi wa kulea wajukuu nyumbani kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria ni uongozi wa chadema taifa kukosa nidhamu na huruma kwa wazazi wa watu na bibi wa wajukuu nyumbani.Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.
Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.
State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism
State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.
Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.
State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.
Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.
Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM? vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?
Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
wabibi wa kulea wajukuu nyumbani kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria ni uongozi wa chadema taifa kukosa nidhamu na huruma kwa wazazi wa watu na bibi wa wajukuu nyumbani.
msiwavimbishe wabibi wa watu kwa kuwaita makamanda ili wakashiriki fujo na hatimae kuumizwa vibaya na pengine kupoteza maisha kabisa kilofa na hatimae kupeleka zawaidi ya msiba kwenye familia na wajukuu zao.
Tafadhali msirudie hata siku ingine tabia hiyo mbaya kutumia wazazi na mabibi za wajukuu wa watu kama shield kwa manufaa ya kutimiza azma zenu binafsi kisiasa na familia zenu.
sawa gentleman?
Nani na nani katupwa poriniTumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.
Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.
State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism
State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.
Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.
State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.
Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.
Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?
Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?
Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
SWali lako ni takataka. Ishughulishe akili yako. Zile threads ziluzoorodhesha walioteswa na kutupwa Bagamoyo, na zile za waliotupwa Mabwrpande ambao mpaka sasa wapo hospitali Mwananyamala, hukuziona, au ushetani ndio unaokufanya uulize maswali ya kipuuzi?Nani na nani katupwa porini
Tupe list
Tofauti na hivyo, ondoa hii takataka
walioumizwa wote walikua wameandaliwa kuleta fujo, vurugu na uporaji wa mali na biashara za watu katikati ya jiji,Mtaje japo mtu mmoja ama aliyekuwepo mahakamani au aliyekuwa akielekea mahakamani ambaye alikamatwa na polisi magaidi, ambaye alikuwa anafanya fujo. Itaje pia na hiyo fujo aliyokuwa akiifanya. Ukishindwe, jiambiwe moyoni. , "mnafiki mimi, shetani amenifanya kuwa wake, na sasa ananitumia. Ndiyo maana nimelaanika mimi na uzao wangu"
walioumizwa wote walikua wameandaliwa kuleta fujo, vurugu na uporaji wa mali na biashara za watu katikati ya jiji,
wakijiandaa kufanya uhalifu huo ndipo sasa wakakutana na mkono wa chuma ambao hawakufua dafu kuukwepa bali kuchezea kipigo cha mbwa koko, ila sio zaidi ya kile alichotembezewa Sigrada Mligo na walinzi binafsi katili sana wa heche 🐒
Mkuu tuisha fika , na hii ni fact ya kuburuza watu ICC, ushahidi wa kutosha upoTumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.
Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.
State Terrorism ni Nini?
From Wikipedia:
State terrorism
State terrorism is terrorism conducted by a state against its own citizens. The government uses terrorism or terror tactics against its own population to achieve its evil political goals.
Tafsiri Nyepesi Kwa Kiswahili:
Ugaidi wa dola ni ugaidi unaofanywa na dola dhidi ya raia wake. Serikali hutumia njia za kigaidi, njia za kuwatisha raia wake ili kutekeleza malengo ovu ya kisiasa, yaani serikali inafanya vitendo vya kuwatisha raia wake ili wasihoji uovu unaofanywa na watawala au vyombo vingine vya Serikali.
State terrorism, with its institutionalized instrumentation of terrorist atrocities through massacres, genocides, forced disappearances, kidnappings, imprisonment, carpet bombings, torture and sponsorship of secret death squads, is a deadlier form of terrorism than non-state terrorism.[101][102][103][104] State terrorism has been far deadlier than non-state terrorism historically.
Tafsiri
Ugaidi wa kidola ni ugaidi wa kitaasisi ambao unaweza kuhusisha mauaji ya watu, upotezaji watu, utesaji, mauaji ya kimbali na ufadhili wa makundi ya kufanya mauji. Kihistoria, Ugaidi wa dola ni mbaya zaidi ya ugaidi wa aina nyingine zote.
Tujiulize:
Hapa kwetu, vipi kuhusu mauaji ya wakosoaji dhidi ya mifumo ya udhulumaji wa haki? vipi kuhusu upotezaji wa wakosoaji wa mifumo na kanuni dhulumaji za kusimamia haki? vipi kuhusu kuwafunga wakosoaji, wa mifumo dhulumati inayosimamiwa na Serikali ya CCM?
Vipi kuhusu kuwatesa wakosoaji wanaofuatilia udhulumaji dhidi ya haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka?
Je, tumebakiza nini ili kuwa Serikali inayofanya state terrorism (Ugaidi wa kidola)?
relax gentleman,Mwendawazimu wa akili, thread haikuhusu. Unataka mpaka nikublock ndiyo ujue kuwa nahitaji watu wenye akili timamu tu kuchangia mada niziletazo?
Hivi wewe jamaa ni mtu au riboti lililoundwa kuwa kinyume cha utu?walioumizwa wote walikua wameandaliwa kuleta fujo, vurugu na uporaji wa mali na biashara za watu katikati ya jiji,
wakati wakijiandaa kufanya uhalifu huo ndipo sasa wakakutana na mkono wa chuma ambao hawakufurukuta wala hawakufua dafu kuukwepa bali kuchezea kipigo cha mbwa koko, ila sio zaidi ya kile alichotembezewa Sigrada Mligo na walinzi binafsi katili sana wa heche 🐒
Chadema ni watu wa aina gani gentleman, hata kufikia mahali kumchochea mbibi akafanye fujo badala ya kulea wajukuu nyumbani?Hivi wewe jamaa ni mtu au riboti lililoundwa kuwa kinyume cha utu?
uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini.
https://www.latinamericanstudies.org › ...
Operation Condor - LatinAmericanStudies.org
Operation Condor was an intelligence organization in which multinational teams tracked down dissidents outside their home countries, captured and
Ukimuuliza Samia habari hizi, bila shaka atakueleza kwamba hajawahi kusikia matukio ya aina hiyo yakitokea ndani ya nchi anayo iongoza, ndiyo maana hana muda hata wa kugusia jambo kama hilo katika hotuba yake!Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio na hatia wanaokosoa dhuluma dhidi ya haki za wananchi za kushiriki kuwachagua viongozi wao.
Watu hawa wanaofanyiwa uharamia, hawana kosa lolote la kishetia, ndiyo maana vyombo vya dola vinawateka, kuwapeleka porini kuwapiga, kuwatesa, kuwavunja mikono na miguu, na kuwatupa huko huko porini. Hawawapeleke mahabusu wala mahakamani kwa sababu wanaofanya vitendo hivyo wanajua kuwa hawana hatia. Kama hawana hatia, na polisi hawawapeleki mahakamani, lengo la polisi kuwafanyia uovu wote huo ni nini? Lengo ni kuwatisha (to terrorize them). Wanataka watu hata wakidhulumiwa haki zao, wasizidai wala kuwakosoa watawala na mifumo inayodhulumu haki.
Hadi unatia huruma!wabibi wa kulea wajukuu nyumbani kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa na kuchochewa kwenda kufanya mambo haramu kinyume cha sheria ni uongozi wa chadema taifa kukosa nidhamu na huruma kwa wazazi wa watu na bibi wa wajukuu nyumbani.