DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) DANIEL SHILLAH, amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limejipanga imara kuhakikisha linakabiliana na matukio ya ukiukwaji wa sheria yatakayojitokeza siku ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Oktoba 27, 2025 huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, amewatoa hofu wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja kuwa, Uchaguzi huo utafanyika kwa Amani, utulivu na usalama.
Amesisitiza kuwa, Jeshi la Polisi litawachukulia hatua watakaojaribu kufanya ghasia na kuhamasisha au kufanya maandamano kinyume na sheria.