Polisi kuwa wastaarabu hakuhalalishi kudogoshwa na raia

Polisi kuwa wastaarabu hakuhalalishi kudogoshwa na raia

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Wakenya ni wajasiri, lakini wakati mwingine huvuka mpaka!

Inawezekana Polisi walikosea kuingia kwenye gari lao bila kueleza sababu, lakini wasingepaswa kutumia maneno makali sana dhidi yao, mpaka kuwaita wapumbavu.

Wangeenda kuwashtaki kwenye mamlaka zinazohusika, na si kuwadhalilisha kwa maneno makali hadharani.

Au ni kwa vile hawakuwa na bunduki?
 

Attachments

  • 5705106-8954d23a0cff83d165be297e9b24f114.mp4
    17.5 MB
Back
Top Bottom