Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni .
Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa
Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini Hauna alafu unabebeshwa libunduki uue raia aisee na
Mtatumika mpaka lini
Kama Hauna Cha kuzungumza cyo lazima uzungumze
Syo lazima kufanya press na wakati ukweli unajulikana