Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jinai sio siri kwamba haitajwi,Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Aidha baada ya mahojiano wameachiwa kwa dhamana wakisubiri taratibu zingine za kisheria kukamilishwa.
View attachment 3661080
AiseeJeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Aidha baada ya mahojiano wameachiwa kwa dhamana wakisubiri taratibu zingine za kisheria kukamilishwa.
View attachment 3661080
After noises and pressure ndipo mnakiri kumkamata, hapo mmesham-blackmail ndipo mkamuachia.Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana
Aidha baada ya mahojiano wameachiwa kwa dhamana wakisubiri taratibu zingine za kisheria kukamilishwa.
Through advancements.It's officially entitled as "Pang'ang'a Republic"!Banana Republic
Goshi Nkoyi ? U ng'waka gwene nale lya kabele πππSikuwahi kufikiria kama nchi yetu itafika huku tulipo. Imenikumbusha miaka ya 96 nikiwa Std 2, naenda kwa babu yangu Diwani jioni kusikiliza redio DW, BBC habari za Rwanda, Congo na Burundi. Leo hii imekuwa zamu yetu.
Inasikitisha sana. Niliamini hizo nchi hazina wazee na Tz ina wazee ambao hawawezi kukubali tufike huko. Lakini masikini wapo kimya kama yanatokea nchi za mbali
Uli nyanda shi!! G'inehe nkoyiGoshi Nkoyi ? U ng'waka gwene nale lya kabele πππ
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana
Aidha baada ya mahojiano wameachiwa kwa dhamana wakisubiri taratibu zingine za kisheria kukamilishwa.