Polisi Manyara wazuia coaster zilizobeba BAVICHA Karatu kwenda Dodoma, vijana waamua kutembea kwa miguu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jeshi la Polisi mkoani Manyara limezuia mabasi (Coaster) yaliyokua yamebeba vijana wa Chadema (BAVICHA) kutoka wilaya ya Karatu, wanaoelekea mkoani Dodoma kwenye maadhimisho ya siku ya vijana duniani yanayofanyika kesho August 12.

Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

Baada ya Polisi kuzuia magari hayo, vijana wameshuka na kuamua kutembea kwa miguu kuendelea na safari yao.!
 
Attachments

  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 9
Jeshi la Polisi mkoani Manyara limezuia mabasi (Coaster) yaliyokua yamebeba vijana wa Chadema (BAVICHA) kutoka wilaya ya Karatu, wanaoelekea mkoani Dodoma kwenye maadhimisho ya siku ya vijana duniani yanayofanyika kesho August 12.

Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

Baada ya Polisi kuzuia magari hayo, vijana wameshuka na kuamua kutembea kwa miguu kuendelea na safari yao.!
Wanaunga mkono Azimio la kwenda Dodoma.
 
Kuna wakati naonaga labda Mungu alituumba Waafrika kuwa watumwa tu mbona matumizi yetu ya akili ni kidogo na nguvu ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom