KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
- Thread starter
- #21
kissue siyo tu privacy ya mbakwaji lakini pia unaweza kuwatia matatani hata hao polisi wapelelezi kuonekana kama wao ndio wamekupa wewe taarifa juu ya sakata hilo.
Mimi mwenyewe ni polis jamii lakini sio kama wale wa kamanda Mwanza!!! Usiogope kusema Ukweli!!!
Ni bora ukafa au ukaingia matatani kwa kusema ukweli kuliko kuingia matatani kwa kubaka na kufanya zinaa!!!
Mungu atakuumbua tuu!!! Kumbuka Mfalme Daudi