KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
- Thread starter
-
- #21
kissue siyo tu privacy ya mbakwaji lakini pia unaweza kuwatia matatani hata hao polisi wapelelezi kuonekana kama wao ndio wamekupa wewe taarifa juu ya sakata hilo.
Ukiona Rushwa inafanyika na Polisi dawa yake ni kuanika jf.Rushwa adui wa haki
Mwalimu na Mwanafunzi ndio wa kwanza kuvunja privancy na maadili kwa kujihusisha na zinaa!!!
Angetaka privancy asingevua nguo mbele za Mwalimu na Mbele za Mungu!!!
Pole kwa mwanafunzi kwa kuambukizwa hiv. Ila mpaka hapa umemvunjia privacy yake kama mgonjwa na kama mbakwaji. Ndo maana hata kesi za ubakaji huwa hawamtaji mwathirika hadharani kwani jamii itamnyanyapaa.