Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tunasubiri kuona, kama itakuwa kweli. Maana tumechoka kusikia mara waandishi wamepokinywa vifaa vyao vya kazi au wamekamatwa
===================
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewahakikishia wananchi na waandishi wa habari usalama wa kutosha wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kuelekea na wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga, wakati wa mdahalo maalum kuelekea uchaguzi mkuu ulioandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (Mbeya Press Club) chini ya uratibu wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC).