Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
WhatsApp Image 2024-09-20 at 10.09.04_4514fc77.jpg
Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni.

Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti nchini kuanzia Septemba 11, 2024, ziara ilitarajiwa kumalizika Oktoba 4, 2024.
 
Walengwa ni Chadema, hapo Zitto anatumika tu kuhalalisha haram.
 
Kuzuia mikutano wako vizuri kweli. Kuleta maendeleo sasa.

Huwezi amini ila wapo madarakani miaka zaidi ya 60, ndio zaidi ya 60 ila mwakani kwenye uchaguzi watakuja na ahadi za tutawajengea barabara, tutawaletea maji, tutawaletea madawati....

CCM kata stimu sana.
 
Hiki kitengo Cha polisi Cha CID kimekaa kimbeya sana.kila mkutano wa siasa lazima kiseme intelijensia Imebaini uvunjifu wa amani wakati ni uongo mtupu
 
Sababu za kiusalama zinazotokana na taarifa za kiintelijensia kuonyesha siyo salama sana kwa shughuli za kiusalama Kyela Mjini.
Hiyo intelligence ipo tuu kwenye mikutano ya vyama? Ila kwny utekaji na mauaji haifanyi kazi
 
Back
Top Bottom