Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

Mkutano huu ulikuwa uhutubiwe na Zitto Kabwe, kesho Septemba 21, 2024 pia wamezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara, Isihaka Mchinjita aliyekuwa afanye ziara na mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kinondoni.

Viongozi wa ACT Wazalendo walianza ziara ya kuzunguka mikoa tofauti nchini kuanzia Septemba 11, 2024, ziara ilitarajiwa kumalizika Oktoba 4, 2024.
Huyo SSP Lwitiko si ndio alikuwa mkuu WA kituo pale sitakishari kipindi Fulani, mshenzi saana huyo alimuweka ndani jamaaa yangu bila sababu
 
Back
Top Bottom