Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 8,967 Reaction score 8,547 Dec 4, 2024 #21 Watanzania tumezidi uoga. Ila kuna kila dalili siku moja kutakuwa na mgogoro mkubwa kiasi cha kujulikana kimataifa. Kuna kila dalili.
Watanzania tumezidi uoga. Ila kuna kila dalili siku moja kutakuwa na mgogoro mkubwa kiasi cha kujulikana kimataifa. Kuna kila dalili.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Dec 5, 2024 #22 mama kubwa said: MTU anaitwa Bank ndio maana ana tamaa ya hela. Mie Naona kama sinema🤷 ngoja tuandae popcorn 🙄 Click to expand... Huyu anaitwa Benk tofauti na huyo Bank.
mama kubwa said: MTU anaitwa Bank ndio maana ana tamaa ya hela. Mie Naona kama sinema🤷 ngoja tuandae popcorn 🙄 Click to expand... Huyu anaitwa Benk tofauti na huyo Bank.
N Ninaweza JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 13,095 Reaction score 8,284 Dec 5, 2024 #23 BabuFey said: Kama wanaazimwa pingu Mungu apishe mbali wakiazimwa SMG. Click to expand... KULE SINGIDA WAMEUA KABISA
BabuFey said: Kama wanaazimwa pingu Mungu apishe mbali wakiazimwa SMG. Click to expand... KULE SINGIDA WAMEUA KABISA