Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

Kama ulishawahi kudhulumu mtu pesa zake jipange.

Kama ulishawahi kumtombea mtu mke wake na akajua jipange.

Kama una kesi za madai kugombania mashamba au mirathi jipange.

Kwa mabinti - kama ulishawahi kula hela za mwanaume halafu zilipoisha ukamtema kwa mbwembwe na dharau jipange.

Kama ulishawahi kumuonea mtu na kumdhalilisha utu wake, ukafanya na fitina mpaka akafukuzwa kazi na maisha yake kuharibika jipange.

Kama ulishawahi kubaka mwanamke na kaka zake wakajua jipange.

Kama ulishawahi kuua mtu jipange!

Visasi!

Visasi!

Watu wasiojulikana!
 
Kawaulize samuya kiwete abduli na bashiti
 
Mimi taarifa za kifo chake zilinipa wasiwasi maana zilifanana kama zimeanzia kwa mtu mmoja lakini zilikuwa hazi make sense. Ajabu watu wengi hawakuhoji hizo taarifa ambazo seems zilipikwa ili kudhibiti taharuki ya haraka. Nikaogopa zaidi waliowahi kwenda moshwari na taarifa zao! Unaona usaniii kabisaaa! We have very big problem na Mungu atusaidie.
 
Watu wa hivyo visasi control inaishia wakiua! Hii ni kama iko managed hivi. Wazee wa kazi wakiamua hii masaa tu wahusika wote nyavuni.
 
Kama alikuwa mmoja wa critics wa Serikali ya Samia The Killer wa kiwango chochote, pengine atakuwa ameuawa na majambazi yaleyale yanayolisumbua taifa day in day out!
 
Thamani ya uhai wetu watanzania imepungua kwa kasi sana. Tumeaminishwa hivyo, na kurudi ni kazi sana.
Yaani mtu umesherehesha binadamu wenzio halafu unauawa kukatili. WTF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…