Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

Dah bongo imekuja kuwa ya kimafia sana, huwezi kutegemea how down tumeenda, so sad
Ni hilo balaa linalojiita Raisi, lilianza kuteka na kuua watu na kufungulia watu kesi fake, watu wengi wamepotea na wengine jela, lakini alisahau huwezi kuonea watu milele,sasa ni pushback na ndio imeanza
 
Dah bongo imekuja kuwa ya kimafia sana, huwezi kutegemea how down tumeenda, so sad



We stooped too low!

Mauaji yametokea, watu wametekwa hakuna uchunguzi, hata wahuni wanapita humo humo..

Tukipiga kelele tunaambiwa eti tunaongea sababu tunamchukia Rais kwa dini yake , Dini WTF! kuna watu hawana dini wala hawataki hizo manipulation za dini.
 
Watanzania mtaendelea kulalamika hadi lini? Tokeni kwa wingi December 9 tumalize mchezo, halafu tuanze kuwabanika hawa viongozi live live. Tunahitaji numbers kuikomboa hii nchi, this time lazima pachimbike.
 
cocastic njoo hapa ulisema sababu ya kifo chake unaijua nayo ni pressure iliyosababishwa na mapenzi🤣
 
Jidanganye! 🚮
 
yapo tayari kuua tena ili kutuondoa mchezoni mauaji ya oct29 safari hii gia imeng"ang'aniang'ania hamtutoi mchezoni ng'o kuna maiti zetu bado mnazo huko
 
Kufuatia kifo cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili kilichotokea Novemba 16, 2025 kisha Polisi Mkoani Dodoma kutoa tarifa za kiuchunguzi kugundua chanzo cha kifo chake na jana Novemba 18, 2025 Polisi ilitoa taarifa kuwa amekufa kwa kipigo hivyo wanafanya uchunguzi waliohusika na kifo cha MC Pilipili bila kutoa ufafanuzi ya majeraha ya aina gani

Kupitia Mitandao ya kijamii taarifa zimekuwa zikisambaa kwa ujumbe kutoka kwa anayesemekana alishuhudia kuona mwili huo na kuwa Mwili wa MC Pilipili ulikutwa na Majeraha ya risasi, alama za mijeledi mgomgoni na alama za kuunguzwa na pasi, zaidi ujumbe huo unaeleza kuwa Familia imekatazwa kutoa taarifa yoyote isipokuwa Polisi ndiyo watakaotoa taarifa zaidi

Mwili wa MC Pilipili unatarajiwa kuzikwa Novemba 20, 2025 Dodoma

Soma pia

​
 
Kuna kitu hakipo sawa....

Watu wa kwanza walisema alikuwa anaumwa, akapelekwa hospitali ndogo, wakaona hali mbaya, wakampeleka General Hospital...

Inakuwaje hawakuona mambo yote haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…