Uchaguzi 2020 Polisi, Mgambo, Zimamoto, Uhamiaji kusimamia uchaguzi

Wanyonyaji hawawezi tamka hilo neno hata uwaue. Yani kwao huo msamiati haupo kabisa.
 
Wapinzani Waambieni wale mliowaleta toka nje kuja kufanya vurugu waanze kufungasha virago haraka kurudi kwao. Uhamiaji wanawajua wote na wanapolala na kuamka waondoke kabla ya siiku ya uchaguzi kitakachowakuta shauri yao.
Hayo majitu yako ya uhamiaji yanahamishwa hamishwa kama jina lao yana madeni ya uhamisho na serikali mpaka utosini uje useme yaitete ccm! Sina uhakika. Nyie pambaneni na hali zenu this time kura inalindwa nipo hapa uhasibu nikisimama naliona jengo lao hapo kurasini.Ila yanapenda rushwa.
 
Danny Faure aliyeshindwa alizaliwa Uganda na kuhamia Seychelles akiwa mdogo . Licha ya yeye kuiletea Seychelles maendeleo lakini Wananch wameona apumzike na wamemshukuru
 
Wapinzani Waambieni wale mliowaleta toka nje kuja kufanya vurugu waanze kufungasha virago haraka kurudi kwao. Uhamiaji wanawajua wote na wanapolala na kuamka waondoke kabla ya siiku ya uchaguzi kitakachowakuta shauri yao.
Kama wameshindwa kuwakamata wakati wanaingia, watawezaje kuwakamata wakati tayari wameshajichanganya? Kwa maelezo yako na ya IGP mnatuaminisha kuwa majeshi yetu hayawezi kuzuia wahamiaji haramu hadi wanaingia ndani ya nchi. Ni wakati sasa wa IGP na kamishna wa uhamiaji kuachia nafasi zao
 
sio ykae kuwa kii bodi woria.kama unataka kuharibu aman uwe wewe wa kwanza.na familia yako.
uache kutukana jitokeze kaama unabisha
 
Kuingia nchini bure kutoka gharama muwaambie kuna wenzao wengine kule kigoma kimeshawakuta nchi zina ushirikiano sasa hivi wa uchaguzi wa kufa mtu ndio maana uliona ziara za kiongozi wa burundi,wa Rwanda,raisi akakutana n raisi wa zambia ,malawi na kenyatta nk

Ukiingia taarifa zinakuja toka nchi hizo kuwa kuna hao wanakuja unawekwa kwenye rada kama raia mwema OK kama mbaya thubutu uone.Waambieni wenzenu wanaodhani kuna safari za kuelekea shimoni mombasa safari hii hazitakuwepo watawekwa kati na askari wa pande zote .Na wale wanaodhani wakiliwasha kuna nchi jirani yoyote watakimbilia imekula kwao nchi zote kuanzia muda ziko sealed kijeshi

Kura zitapigwa kwa amani na utulivu na hakuna kiumbe ataleta fyoko awe mgombea au mpiga kura au kibaka wa mtaani
 
Kazi ya polisi ni kulinda Amani, Haki hutolewa mahakamani sio polisi
umemaliza vyombo vya ulinzi na usalama kazi yao kusimamia amani tu ndio maana kuna mahakama za kusimamia haki
 
Maana yake ni kuwa wako tayari kunyonga haki ili wapate amani ya kuturawala ki mabavu.
 
Hao Polisi wa kutosha ni wangapi kulinganisha na raia?
askari mmoja tu komandoo wa JWTZ akitua katikati ya umati aweza pambana na watu elfu moja bila shida yeyote huo umati ni wa watu wangapi hadi ushindikane na ujue ana silaha za moto wakati wewe huna

bomu moja tu laweza kimbiza raia 500 ndani ya sekunde

Tii sheria bila shuruti kwenye kuvunja amani usisogee

vipi lakini bado uko maeneo yale ya mabibo au ulishahama maeneo yale ulikuwa unakaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…