Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ilhali ajira mpya hazijakuwepo.Hao Polisi wa kutosha ni wangapi kulinganisha na raia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilhali ajira mpya hazijakuwepo.Hao Polisi wa kutosha ni wangapi kulinganisha na raia?
Wanyonyaji hawawezi tamka hilo neno hata uwaue. Yani kwao huo msamiati haupo kabisa.Hivi kwanini hasemi uchaguzi utakuwa wa haki, anarudia rudia tu kusema watahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani! Kwanini asiseme watahakikisha uchaguzi unakuwa wa haki na amani
1. Hivi mtu akikaa mita 100 kusubiri majibu kuna ubaya gani? Kwanini unakataza watu kulinda kura zao walizopiga kila kituo kama una hakika hakuna michezo yoyote itakayochezwa. Si uwaache tu wajikalie matokeo yakitangazwa wanaenda makwao
2. Hao magereza mnaowaleta kulinda uchaguzi kule watokako wafungwa wamewaacha na nani?
Hayo majitu yako ya uhamiaji yanahamishwa hamishwa kama jina lao yana madeni ya uhamisho na serikali mpaka utosini uje useme yaitete ccm! Sina uhakika. Nyie pambaneni na hali zenu this time kura inalindwa nipo hapa uhasibu nikisimama naliona jengo lao hapo kurasini.Ila yanapenda rushwa.Wapinzani Waambieni wale mliowaleta toka nje kuja kufanya vurugu waanze kufungasha virago haraka kurudi kwao. Uhamiaji wanawajua wote na wanapolala na kuamka waondoke kabla ya siiku ya uchaguzi kitakachowakuta shauri yao.
Danny Faure aliyeshindwa alizaliwa Uganda na kuhamia Seychelles akiwa mdogo . Licha ya yeye kuiletea Seychelles maendeleo lakini Wananch wameona apumzike na wamemshukuruMKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema majeshi yote yameungana na tayari yamesambazwa kwenye mikoa mbali mbali
ikiwemo Arusha ili kusimamia uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ijayo Oktoba 28.
Sirro ametaja majeshi hayo kuwa ni Polisi wenyewe, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Mgambo ambao tayari wapo Mkoani Arusha kwa
ajili ya zoezi la kuhakikisha utulivu unakuwepo siku ya kupiga kura.
Akizungumza akiwa mkoani Arusha, Sirro amesema anatambua kuwa kuna vikund ambavyo vimepangwa kwa ajili ya kufanya vurugu siku ya uchaguzi na kuvuruga amani, hata hivyo watavikamata kabla ya siku usiku.
"Kuna vikundi vinataka kuharibu amani katika uchaguzi jijini Arusha vitakamatwa kabla ya siku ya uchaguzi ili kuondoa malengo yao ya kuharibu amani, "amesisitiza na kuongeza" Arusha imekuwa na historia ya vurugu tumeleta polisi wa kutosha kudhibiti wachache wanaotaka kufanya vurugu," amesema.
IGP amesema askari wanatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa wa amani na kudhibiti changamoto zozote ambazo zitajitokeza za kiusalama. Hata hivyo aliwataka wananchi watoe ushirikiano wanapohisi uvunjifu wa amani ili hatua haraka zichukuliwe.
Chanzo: Habari leo
Kama wameshindwa kuwakamata wakati wanaingia, watawezaje kuwakamata wakati tayari wameshajichanganya? Kwa maelezo yako na ya IGP mnatuaminisha kuwa majeshi yetu hayawezi kuzuia wahamiaji haramu hadi wanaingia ndani ya nchi. Ni wakati sasa wa IGP na kamishna wa uhamiaji kuachia nafasi zaoWapinzani Waambieni wale mliowaleta toka nje kuja kufanya vurugu waanze kufungasha virago haraka kurudi kwao. Uhamiaji wanawajua wote na wanapolala na kuamka waondoke kabla ya siiku ya uchaguzi kitakachowakuta shauri yao.
sio ykae kuwa kii bodi woria.kama unataka kuharibu aman uwe wewe wa kwanza.na familia yako.Maneno ya kipuuzi na ya hovyo kabisa kutoka kwa IGP, hii ni aibu kwa jeshi la polisi, kama wanajua kuna hivyo vikundi kwanini wasiwakamate hao wahalifu mapema halafu mambo ya uchaguzi waachiwe raia? Au taasisi za kiraia? unajaza hao watu kwani ni uchaguzi wa jeshini huo?!
Hii ni mbinu ya kuwatisha wapiga kura wasijitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ili Gambo mwenye hali mbaya ashinde, Sirro amefeli na wale wanaomtumia pia wamefeli, machalii wa chuga hawana mambo ya kisoro kuogopa mandata kiboya, jumatano kura zitapigwa, na Lema atashinda.
Kuingia nchini bure kutoka gharama muwaambie kuna wenzao wengine kule kigoma kimeshawakuta nchi zina ushirikiano sasa hivi wa uchaguzi wa kufa mtu ndio maana uliona ziara za kiongozi wa burundi,wa Rwanda,raisi akakutana n raisi wa zambia ,malawi na kenyatta nkKama wameshindwa kuwakamata wakati wanaingia, watawezaje kuwakamata wakati tayari wameshajichanganya? Kwa maelezo yako na ya IGP mnatuaminisha kuwa majeshi yetu hayawezi kuzuia wahamiaji haramu hadi wanaingia ndani ya nchi. Ni wakati sasa wa IGP na kamishna wa uhamiaji kuachia nafasi zao
umemaliza vyombo vya ulinzi na usalama kazi yao kusimamia amani tu ndio maana kuna mahakama za kusimamia hakiKazi ya polisi ni kulinda Amani, Haki hutolewa mahakamani sio polisi
Maana yake ni kuwa wako tayari kunyonga haki ili wapate amani ya kuturawala ki mabavu.Hivi kwanini hasemi uchaguzi utakuwa wa haki, anarudia rudia tu kusema watahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani! Kwanini asiseme watahakikisha uchaguzi unakuwa wa haki na amani
1. Hivi mtu akikaa mita 100 kusubiri majibu kuna ubaya gani? Kwanini unakataza watu kulinda kura zao walizopiga kila kituo kama una hakika hakuna michezo yoyote itakayochezwa. Si uwaache tu wajikalie matokeo yakitangazwa wanaenda makwao
2. Hao magereza mnaowaleta kulinda uchaguzi kule watokako wafungwa wamewaacha na nani?
askari mmoja tu komandoo wa JWTZ akitua katikati ya umati aweza pambana na watu elfu moja bila shida yeyote huo umati ni wa watu wangapi hadi ushindikane na ujue ana silaha za moto wakati wewe hunaHao Polisi wa kutosha ni wangapi kulinganisha na raia?