GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Sasa ni rasmi kuwa yawezekana aina ya Bange / Bangi inayolimwa na Kuvutwa Mkoani Mara ( Musoma ) ikawa na ‘ Madhara ‘ kuliko inavyodhaniwa na Watu wengine, hivyo ni Jukumu la Mamlaka husika ( Serikali ) kulivalia njuga Ulimwaji wa hiki ‘ Kilevi Moshi ‘ humo Mkoani kabla hali haijazidi kuwa mbaya na kuhatarisha Kizazi na Maendeleo ya Mkoa mzima.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa wakati kila Mtu akitambua ya kwamba zile Namba za Simu za Polisi zimewekwa kwa ajili ya Kuripoti ‘ Matukio ‘ ya ‘ Kiuhalifu ‘ hatimaye Mamlaka ya Kipolisi Mkoani humo imewaonya Wananchi wa Mkoani Mara ( Musoma ) kuacha Kupiga Simu Polisi na kuwataka Polisi hao wawatafutie Wachumba wa Kuwaoa.
Chanzo Habari: Kipindi cha Nipashe Radio One 27/10/2019
Ndugu zangu wana Mara ( Musoma ) mnanitia sana Aibu ' Poti ' wenu Mimi GENTAMYCINE yaani kabisa mmefikia hatua mnashindwa ' Kutongoza ' wenyewe Wanawake hadi ' Mtongozewe ' na Mapolisi wa Mkoa huku mkihangaika Kupiga Simu Kwao? Hivi yale ' Malezi ' ya Ki Musoma ( Ki Mara ) ambayo Sisi wengine tulipewa na Mababu zetu ndiyo Kusema kwamba Siku hizi hiki Kizazi hawapewi au?
Hata hivyo siamini kama wana Mara ( Musoma ) wanaweza wakawa na huu ' Upopoma / Upuuzi ' kwani kama kuna Watu ambao wanajua ' Kutongoza ' tena bila mbeleko yoyote ile / msaada wowote ule basi ni wana Mara ( Musoma ) ila nilivyoichunguza na Kuifuatilia nimegundua kuwa wenye hizi tabia ni Watu wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara na Warangi ambao ndiyo wamejaza Mkoani Mara utadhani Mikoani Kwao hawawezi Kuishi.
Nampa Saa 24 huyu Mwandishi wa Habari aliyetoa hii Habari atuombe Radhi upesi wana Mara ( Musoma ) kwa Kutudhalilisha.