tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao na kuwa inawashikiLIa watu hao. Hii inatupa wasiwasi kwa kimyaa chao.
Soma pia GE2025 - Wananchi Mbeya wapinga matokeo Kura za Maoni CCM, waahidi kususia uchaguzi mkuu 2025
Hii ni video ikionyesha baadhi ya wananchi wa jimbo la mbarali wakitoa msimamo juu ya mgombea wanaemtaka na kuahidi kuwa asiporudishwa mgombea huyo hawatashiriki kupiga kura.