Habari,
Kwa nini hawa ndugu zetu wamekuwa wakiongoza kuvunja sheria hasa za barabarani. Mara nyingi hutanua kwenye barabara na kupita njia ambayo kisheria hairuhusiwi. Wanajifanya wana haraka lakini hawana chochote wanachowahi, askari wa nje mfano Marekani huvunja sheriaa kwa sababu maalum mfano hupora gari au pikipiki ya mtu ili kumfuza adui au jambazi hapa kwetu askari ni tofauti.
Nawasilisha