Polisi mnaongoza kuvunja sheria

Polisi mnaongoza kuvunja sheria

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Habari,
Kwa nini hawa ndugu zetu wamekuwa wakiongoza kuvunja sheria hasa za barabarani. Mara nyingi hutanua kwenye barabara na kupita njia ambayo kisheria hairuhusiwi. Wanajifanya wana haraka lakini hawana chochote wanachowahi, askari wa nje mfano Marekani huvunja sheriaa kwa sababu maalum mfano hupora gari au pikipiki ya mtu ili kumfuza adui au jambazi hapa kwetu askari ni tofauti.

Nawasilisha
 
Wanaofanya hivyo sana sana wanajeshi,wanaboa kinomaaaaaa kama walikua na haraka wangetoka saa tisa alfajiri.
 
Wanaboa ile kinoma noma...'ndo hvyo itabidi tupige kimya tu.
 
Back
Top Bottom