Anaringishia kuwa anatongozwa😁Chacha ni mtu wa misifa sana.
KosaKampenda Mtu ni hisia, kisha kutafsiri hizo hisia Kwa vitendo ndo utongozaji wenyewe. Hapo Sophia kafanya kosa gani la Jinai?
Hakuna kosa..Kampenda Mtu ni hisia, kisha kutafsiri hizo hisia Kwa vitendo ndo utongozaji wenyewe. Hapo Sophia kafanya kosa gani la Jinai?
Sasa huyo sophy atashtakiwa kwa kosa gn?Huyo chacha mwenyewe😁
Kachacha.
Yaani Hana adabu,anamtongoza Mzee,Sasa huyo sophy atashtakiwa kwa kosa gn?
Sophia hana kosa lolote. Mi mwenyewe nlikuwa natafuta namba za Deo, anioe kimilaJana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza suala hilo la mtongozano alisema alilazimika kumripoti Sophia Polisi akakamatwa ndo ukawa mwisho wa kumtamani na kumsumbua kwamba anapenda kimapenzi.
Labda Polisi Tabora mtusaidie, Sophia alitenda kosa gani kuonyesha hisia zake Kwa Paulo Chacha Hadi mumkamate? Ni kifungu kipi kinasema ni kosa mwanamke kumtongoza mwanaume?
Watu wakisema CCM na Polisi lenu moja kubambikia wananchi kesi mnajitenga kama hamfahamiani lakini huu ni ushahidi tosha kiongozi wa mkoa ambaye ni mjumbe wa Kamati ya siasa mkoa ya CCM kushitaki raia tena mwanamke kwa kosa lisilokuwepo na bado Polisi wakachukua hatua kama alivyotaka Mkuu wa mkoa.
Yaani sijui charge sheet itakuwa na kitu gani ndani yake!Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza suala hilo la mtongozano alisema alilazimika kumripoti Sophia Polisi akakamatwa ndo ukawa mwisho wa kumtamani na kumsumbua kwamba anapenda kimapenzi.
Labda Polisi Tabora mtusaidie, Sophia alitenda kosa gani kuonyesha hisia zake Kwa Paulo Chacha Hadi mumkamate? Ni kifungu kipi kinasema ni kosa mwanamke kumtongoza mwanaume?
Watu wakisema CCM na Polisi lenu moja kubambikia wananchi kesi mnajitenga kama hamfahamiani lakini huu ni ushahidi tosha kiongozi wa mkoa ambaye ni mjumbe wa Kamati ya siasa mkoa ya CCM kushitaki raia tena mwanamke kwa kosa lisilokuwepo na bado Polisi wakachukua hatua kama alivyotaka Mkuu wa mkoa.
Hizi kelele zote za kumsemasema Mtaani wangu Paul Chacha ni kwasababu ameteuliwa kuwa Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Taifa. Na mnamjua ni jembe ambalo HAKUNA Kiongozi yeyote wa upinzani hasa Chadema wa kuweza kupambana nae. Elimu yake, Experience yake, Exposure yake na uadilifu wake wa kazi watu kama Heche, Mnyika, Golugwa hukiwajumlisha pamoja bado ni cha mtoto sana kwake!Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza suala hilo la mtongozano alisema alilazimika kumripoti Sophia Polisi akakamatwa ndo ukawa mwisho wa kumtamani na kumsumbua kwamba anapenda kimapenzi.
Labda Polisi Tabora mtusaidie, Sophia alitenda kosa gani kuonyesha hisia zake Kwa Paulo Chacha Hadi mumkamate? Ni kifungu kipi kinasema ni kosa mwanamke kumtongoza mwanaume?
Watu wakisema CCM na Polisi lenu moja kubambikia wananchi kesi mnajitenga kama hamfahamiani lakini huu ni ushahidi tosha kiongozi wa mkoa ambaye ni mjumbe wa Kamati ya siasa mkoa ya CCM kushitaki raia tena mwanamke kwa kosa lisilokuwepo na bado Polisi wakachukua hatua kama alivyotaka Mkuu wa mkoa.
Huyu Juma Homela katumbuliwa uwaziri wa katiba???Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela.