Thamani ya maisha ni sawa kwa binadamu wote mkuu. Akiuwawa mtu mkubwa/ mdogo/maskini/tajiri/mgeni/mrefu au mfupi, the loss is equal. Sheria zifuatwe na wote kwa wote.Vijana wana hasira kali sana hii tabia ikiendelea ipo siku itagharimu maisha ya mtu mkubwa .
Nimesema hivyo kwasababu hawa wanasubiri madhara yawapate wakubwa au mtu maarufu ndo wanachukua hatua.Thamani ya maisha ni sawa kwa binadamu wote mkuu. Akiuwawa mtu mkubwa/ mdogo/maskini/tajiri/mgeni/mrefu au mfupi, the loss is equal. Sheria zifuatwe na wote kwa wote.
Nilipanda bodaboda Toka makumbosho 2 HQ akanipisha taa ziso zetu nikahamaki sana. Majibu yake Sasa. Bro unaogopa? Huyo nilishamalizana naye hanisbui Tena Leo. Nilishowa Cha kusemaSalaam
Hawa jamaa siku hizi wanapenda sana kuchukua sheria mkononi ,jioni hii kuna gari ndogo Carina Ti iligonga boda boda sijajua ni bahati mbaya au vipi basi jamaa wakaanza fujo kiasi cha kwamba dereva ilibidi akimbie na gari ,,,,,isivyo bahati wakaikamata vingunguti wakaishambulia sana ile gari huku wakiambizana wapige moto ile gari haitamaniki kwa uharibu ,sijajua maisha ya dereva.
Hii tabia imekua nguli sana hata kama umegonga kwa uzembe wao na ukataka kuonesha uungwana utoe msaada tegemea kupata ulemavu au kifo. Vijana wana hasira kali sana hii tabia ikiendelea ipo siku itagharimu maisha ya mtu mkubwa .
Uendeshaji mbovu mimi juzi hapa bila umakini wangu wangeniua barabarani au wangeniacha na ulemavu, jamaa wanaendesha vibaya sana siku hizi hususani nyakati za jioni na usiku wanaendesha vibaya mnoHii tabia imekua nguli sana hata kama umegonga kwa uzembe wao na ukataka kuonesha uungwana utoe msaada tegemea kupata ulemavu au kifo. Vijana wana hasira kali sana hii tabia ikiendelea ipo siku itagharimu maisha ya mtu mkubwa .
Mkuu ni hatua gani unataka zichukuliwe? Hili ni ''jeshi'' lililotengezwa na CCM kwa sababu ya uongozi mbovu. Hatua za kuchukuwa zinahitaji commitment ambayo hakuna kwenye utawala haramu wa sasa. The only solution ni uongozi bora. Kudhani kuwawekea sheria au kuwapiga marufuku kutasaidia ni kujidanganya.Nimesema hivyo kwasababu hawa wanasubiri madhara yawapate wakubwa au mtu maarufu ndo wanachukua hatua.
kibaya zaidi wanakula wake za watu sana wahuni waleBoda wanaongoza kwa kutofuata sheria.
waache waendelee ipo siku wataingia choo cha kike.Salaam
Hawa jamaa siku hizi wanapenda sana kuchukua sheria mkononi ,jioni hii kuna gari ndogo Carina Ti iligonga boda boda sijajua ni bahati mbaya au vipi basi jamaa wakaanza fujo kiasi cha kwamba dereva ilibidi akimbie na gari ,,,,,isivyo bahati wakaikamata vingunguti wakaishambulia sana ile gari huku wakiambizana wapige moto ile gari haitamaniki kwa uharibu ,sijajua maisha ya dereva.
Hii tabia imekua nguli sana hata kama umegonga kwa uzembe wao na ukataka kuonesha uungwana utoe msaada tegemea kupata ulemavu au kifo. Vijana wana hasira kali sana hii tabia ikiendelea ipo siku itagharimu maisha ya mtu mkubwa .
Ku-deal na bodaboda ni ku-deal na dalili za ugonjwa badala ya chanzo. Wahuni ni watawala waliofanya bodaboda iwe sehemu ya kuficha udhaifu wa uongozi mbovu.Bodaboda ni washenzi sana na ni wahuni. Hawa wahuni kusababisha ajali hawaoni shida. Bodaboda unampisha apite barabarani lakini atakufuata upande uliko. Wakishagonga huwa wanakimbia na kupotea hutawaona na kujua wamekimbilia wapi
Watumiaji huwaita BODABODA.Bodaboda ni washenzi sana na ni wahuni. Hawa wahuni kusababisha ajali hawaoni shida. Bodaboda unampisha apite barabarani lakini atakufuata upande uliko. Wakishagonga huwa wanakimbia na kupotea hutawaona na kujua wamekimbilia wapi
Madereva tujaliane maisha na huu ndiyo udereva uliokamilika kuwajibika hata kwa makosa ya wengine,maisha yangekuwa bora sana kama tungekuwa tunawajibika kama hivi kwenye makosa ya wenzetu.Mimi boda wanakuja wenyewe kwenye ngao ya Chuma nawakwepa sana wengine nikiona hawezi kumaliza kama tunapishana na gari mbele nasimama kabisa bila hivyo wangegonga sana hili Chuma na naona kabisa hawapendi maisha yao aisee kwa michezo wanayofanya mbele ya magari..
serikali inawaremba kwa kuwaita maafisa usafirishaji kwa sababu inajua kabisa wale ni wahuni na ni washenzi, kukinukisha ni dakika moja tu, ni kitisho kikubwa kwa serikali, kwa hiyo inabidi serikali iwachekee na kuwabembeleza wahuni hao!Watumiaji huwaita BODABODA.
wenye magari huwaita WAHUNI/WASHENZI
serikali huwaita MAAFISA USAFIRISHAJI.
Yote kwa yote Mungu awalinde wapambanaji wote,kwani wanategemewa.