Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro.

Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi

Mahojiano yamefanyika leo Decemba 2, 2025 na baada ya mahojiano hayo ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake wakati uchunguzi zaidi unaendelea kufanyika.
photo_2025-12-02_23-15-42.jpg
 
Ungeandika yaliyomo kwenye hiyo karatasi,macho hayafanani.
 
Nyinyi vilaza mliofeli mtihani wa kidato cha nne na kuishia kupata vi D viwili mnapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa Profesa mwenye PhD yake na machapisho kibao yanayotambulika Kimataifa?

Mkiulizwa hata maana ya hilo neno "uchochezi" hamjui! Ila kika siku ni kunyanyasa tu raia na kuwalazimisha kuwa mambubu! Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom