Nyinyi vilaza mliofeli mtihani wa kidato cha nne na kuishia kupata vi D viwili mnapata wapi ujasiri wa kumnyanyasa Profesa mwenye PhD yake na machapisho kibao yanayotambulika Kimataifa?
Mkiulizwa hata maana ya hilo neno "uchochezi" hamjui! Ila kika siku ni kunyanyasa tu raia na kuwalazimisha kuwa mambubu! Hovyo kabisa.