Polisi Morogoro vs Yanga live updates

ukiona Amavubi hajashoboka uje keshachungulia bakuli la bibi
 
You know point 3 si haba you know, asiyetaka akufwe for us you know.
Kwa udhamini wa le mutuz.
 
kesi za hadharani ziwekwe hadharani

Ha hahahahaaa Amavubi zingine mashtaka yake ni ya siri sana.
Tumeamka Yanga nadhani mmetuona, pamoja na makosa ya kukosa magoli mengi ya wazi.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?
Wewe sio bure lazima utakuwa shoga, utapata wapi muda wa kufuatilia mpira wikiend wakati waume zako hatuendi kazini tunakukula 0713 mpaka jpili usiku, ligi kuu ni jmosi na jpili tu. j3 unapumzisha 0713 yako mpaka ijumaa
 
Ha hahahahaaa Amavubi zingine mashtaka yake ni ya siri sana.
Tumeamka Yanga nadhani mmetuona, pamoja na makosa ya kukosa magoli mengi ya wazi.
Cha umuhimu hapa zilikuwa point 3 muhimu, shukrani kwa Danny Mrwanda.
 
Last edited by a moderator:
Wale wa mambumbumbu fc wako wapi!!!!
 
Hongereni kandambili kwa ushindi kiduchu.
 
yanga wameona mwezi.hahaha
vibonde united
subirini wanaume kesho tuwaoneshe soka
 
makoye matale Leo sabato imeota mbawa

Mkuu nilikuwa madhabahuni full time. Nimetoka nikakutana na mashabiki barabarani wakishangilia, nilipowauliza kulikoni, wakasema: wewe ni mgeni hapa nchini hata usijue kuwa timu ya wananchi imeshinda? Nikaingia JF, nikaona post ya sembo nikampa zawadi.
 
Last edited by a moderator:
makoye matale Leo sabato imeota mbawa

Aisee Mikia waoga kama nini, laiti Yanga ingefungwa mngekuwa mmejazana hapa Jukwaani mkirusha madongo yenu. Hili ni dhahiri kwani hata nyuzi za michezo ya bonanza la mapinduzi bado mnaziendeleza hadi leo mfano: nusu fainali Simba v Polisi na Mtibwa v JKU na zaidi sana mechi ya fainali Simba v Mtibwa. Vile vile mliendelea sana katika uzi wa Yanga v Ruvu Shooting. Sasa mko wapi?

CC Masuke, sembo, grafani11 na mikia wote popote mlipo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…