ndugu matale tunahesabu masaa tu sasa
hatamimi nishahidi wahilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu matale tunahesabu masaa tu sasa
Nilikuwa ibadani, unasemaje mtumishi wa Mungu?Aisee Mikia waoga kama nini, laiti Yanga ingefungwa mngekuwa mmejazana hapa Jukwaani mkirusha madongo yenu. Hili ni dhahiri kwani hata nyuzi za michezo ya bonanza la mapinduzi bado mnaziendeleza hadi leo mfano: nusu fainali Simba v Polisi na Mtibwa v JKU na zaidi sana mechi ya fainali Simba v Mtibwa. Vile vile mliendelea sana katika uzi wa Yanga v Ruvu Shooting. Sasa mko wapi?
CC Masuke, sembo, grafani11 na mikia wote popote mlipo.
Amekimbia kipindi cha kutoa sadaka.makoye matale Leo sabato imeota mbawa
Amekimbia kipindi cha kutoa sadaka.
Nilikuwa ibadani, unasemaje mtumishi wa Mungu?
Mungu akubariki sanaAminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!