PostGE2025 Polisi Morogoro wamkamata Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SUA, Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi

PostGE2025 Polisi Morogoro wamkamata Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SUA, Prof. Rasel Madaha kwa tuhuma za Uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
sawa lakini haya mavyeo ya uprofesa huwa nayaangalia kutokea elimu ya msingi...kama alikuwa vizuri huko basi atakuwa profesa mzuri na kama alifeli huko ninakuwa na mashaka
But alisoma advance minaki
 
Akirudishwa naye anakuwa kesha f....

Mnasubiri nini kuandamana?
Nchi hii sisi ni vilaza sana, mwenzetu anatekwa tuna jadili elimu.

Mpaka nasi tutwekwe wote tuwe nchi ya wacenge, ndio tutajadili vitu vya maana.
 
Back
Top Bottom