Best_Carmine JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 897 Reaction score 1,439 Dec 3, 2025 #21 funaku said: sawa lakini haya mavyeo ya uprofesa huwa nayaangalia kutokea elimu ya msingi...kama alikuwa vizuri huko basi atakuwa profesa mzuri na kama alifeli huko ninakuwa na mashaka Click to expand... But alisoma advance minaki
funaku said: sawa lakini haya mavyeo ya uprofesa huwa nayaangalia kutokea elimu ya msingi...kama alikuwa vizuri huko basi atakuwa profesa mzuri na kama alifeli huko ninakuwa na mashaka Click to expand... But alisoma advance minaki
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Dec 3, 2025 #22 funaku said: Kama alianzia Diploma enzi hizo basi hakuwa kipanga shuleni. Click to expand... Usikariri mazee haipo hivyo..
funaku said: Kama alianzia Diploma enzi hizo basi hakuwa kipanga shuleni. Click to expand... Usikariri mazee haipo hivyo..
A August Platinum Member Joined Jun 18, 2007 Posts 10,983 Reaction score 7,157 Dec 3, 2025 #23 funaku said: Kama alianzia Diploma enzi hizo basi hakuwa kipanga shuleni. Click to expand... Vipanga waliosoma DIT Rtd Vice Chancellor Mathew Luhanga, Prof Mark Mwandosya
funaku said: Kama alianzia Diploma enzi hizo basi hakuwa kipanga shuleni. Click to expand... Vipanga waliosoma DIT Rtd Vice Chancellor Mathew Luhanga, Prof Mark Mwandosya
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Dec 3, 2025 #24 Akirudishwa naye anakuwa kesha f.... Mnasubiri nini kuandamana? Nchi hii sisi ni vilaza sana, mwenzetu anatekwa tuna jadili elimu. Mpaka nasi tutwekwe wote tuwe nchi ya wacenge, ndio tutajadili vitu vya maana.
Akirudishwa naye anakuwa kesha f.... Mnasubiri nini kuandamana? Nchi hii sisi ni vilaza sana, mwenzetu anatekwa tuna jadili elimu. Mpaka nasi tutwekwe wote tuwe nchi ya wacenge, ndio tutajadili vitu vya maana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 3, 2025 #25 Hatari sana... Cc: Mahondaw