Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi.
Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo.
Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi kutolewa bila maagizo kutoka Juu.
KAMA SI MKONO WA MUNGU TUNGEKUWA TUNZAZUNGUMZA MENGINE SASA
Ukamataji wa LUCY SHAYO haukuwa wa kawaida Ni dhairi Shairi ULIKUWA NI UTEKAJI.
Mungu alisaidia Watekaji wakamulikwa na kukabiliana na Raia wema.
Lucy aligomewa kuingizwa katika List ya Watuhumiwa wa kawaida yani katika Registration Book ya watuhumiwa. Haikuwa raisi nia mbaya ilikuwemo ndani yake.
LAKUSTAAJABISHA
Afande aliyemsaidia Lucy kutoa taarifa kwa ndugu zake YUPO HATIANI KUPOTEZA KAZI YAKE Kama Bado hajaipoteza mpaka sasa.
Yani Afande anatuhumiwa kwa kumsaidia Mtuhumiwa kuwajulisha ndugu zake yakuwa yupo Chini ya Mikono ya Jeshi la Polisi .
Hili linaziirisha hakukuwa na Nia njema katika ukamataji wa LUCY SHAYO.
LEO NI SIKU YA NNE WANAMSHIKILIA
Ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kumshikilia Binti mdogo kama Lucy Shayo kwa Siku Nne kwa Makosa yanayofhaninika.
Soma Pia: Polisi Wathibitisha Kukamatwa kwa Lucy Shayo kada wa CHADEMA na Stephan Simchimba
Tutasimama Lucy Shayo Atashinda hayo mateso
Mbarikiwe sana.