Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

viingereza vingi kwenye sentensi ya kiswahili ni dalili ya uoga.

swala la yeye kuua polisi pekee umelitoa wapi??hujasikia kuna mlinzia wa kampuni pia??au nayeye alipewa dhahabu??
acha umbuzi.

kwanza wewe unajua alikuwa amepanga kuua nani na nani??
Sema hujaelewa nikutafsirie,ningekuogopa nisingekujibu,kwani mlinzi haingii kwenye category ya kusimamia safety,umesikia kuna raia ya kawaida ameuliwa ukiacha wao? very stupid Huna jibu la maana ndo maana Unajibu kwa jazba na ukali, ukweli umekuuma wa kula mihogo na hapa umenijulisha kua unakula mizizi pia lazima uwe na akili na majibu ya ovyo,akili za Facebook ndo zipi? Ndo shida ya kujua social media hivi karibu mnajiona nyie ndo mko sawa katika kila kitu,ujinga tu,wala sikujibu tena nishaona mtu anayenijibu yuko vipi,endelea kuamini ujinga wako eti jamaa yangu hamza una evidence,ovyo kweli kusema ukweli mpaka uwe una ujamaa na mtu,deal na people wa type yako,wabinafsi,wabaguzi na wajinga nimemalizaa
 
Ipo haja ya driver wa boda boda kupelekwa jkt coz fupi ili kulisaidia jeshi hili, wabebe abiria na wakati huo huo kutoa tarifa muhimu kuwasaidia hili jeshi pengine litasaidia kwa namna moja au nyingne na kuhusu malipo mtakubaliana baada ya mazungumzo mtakayofanya.
 

kwamba unitafsirie kiingereza cha maslay queen hiki!!!we dogo vipi!!!labda mmoja wao.

nimekuuiiza swali simple,unajua hamza wakati anatoka kwake alipanga aue nani na nani???sijui hata kama hujui jibu ulielewa msingi wa swali hilo!!

sijajua unaaga hutanijibu tena unaogopa majibu ya hovyo ama unaogopa maswali ya hovyo??akili za facebook ndio kama hizi za kukimbia mijadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…