KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo