Polisi msimbazi aibu soma yanayotokea usiku

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,414
Reaction score
199
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo
 
Ooh...oooh!!Kawaida yao, labda hao "vibaka" wangekuwa wapinzani wangeshuulika.
 
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo

Unategemea nini kutoka kwa watu wanaoshindwa hata kusafisha mazingira ya nyumba wanazoishi?
 
Wako bize na taarifa za kiintelijensia kuhusu siasa za upinzani hayo mengine hayawahusu.
 
Matatizo ya polisi yatakuja mengi sana. Hebu fikiria: viongozi wakiwashindwa watoto wao wanawapeleka polisi. Inashangaza sana. Hivyo polisi ni mkusanyko wa vijana walioshindikana kwa wazazi wao. matatizo ni makubwa zaidi.
 
wamekukaba mkuu??mbona ni watoto wa polisi haohao hapo quarter
 
eh sa ka mtu anakabwa karibia na kituo cha polisi sasa huko mtaani kwengine kutakuaje
 
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo

Kwa hali mbaya ya askari wetu,kiuchumi utakuwa na uhakika gani kwamba baadhi yao hawajajiajiri katika huo ukabaji?kama mashoga wapo hapo basi ujue wanapata wateja hapo,sasa usiulize nani mteja,maana hata wewe ukianza biashara yako leo si lazima utaisogeza karibu na wateja wako ili ishamiri nawe ufanikiwe!
 
Umechukua hatua gani ili solve that issue apart frrm osting here? Ungepiga hata picha ya hao machangudoa na mashoga maana wengine hatupo dar!
 
ningetumia kifaa gani kupiga picha ikiwa simu unayo mfukoni tu unakabwa au unataka waniue ka na si kila taarifa ije na picha tujenge utamaduni wa kuaminiana sisi ni magreat thinker
 
Umechukua hatua gani ili solve that issue apart frrm osting here? Ungepiga hata picha ya hao machangudoa na mashoga maana wengine hatupo dar!
siku ukija dar katiza mida ya saa nne usiku
 
Back
Top Bottom