KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo
Na ushoga kaka? Yan kuna wasen** kama tunaishi enzi za sodomaWako bize na taarifa za kiintelijensia kuhusu siasa za upinzani hayo mengine hayawahusu.
walimkaba rafiki yangu ramso haf nikaenda mgahbwani nikasikia watu wanapasifuwamekukaba mkuu??mbona ni watoto wa polisi haohao hapo quarter
walimkaba rafiki yangu ramso haf nikaenda mgahbwani nikasikia watu wanapasifu
unaambiwa kuna mashoga wana camerooniana wao kwa waoWalimkaba pekee au na ku-Cameroon pia?
pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo
ningetumia kifaa gani kupiga picha ikiwa simu unayo mfukoni tu unakabwa au unataka waniue ka na si kila taarifa ije na picha tujenge utamaduni wa kuaminiana sisi ni magreat thinkerUmechukua hatua gani ili solve that issue apart frrm osting here? Ungepiga hata picha ya hao machangudoa na mashoga maana wengine hatupo dar!
siku ukija dar katiza mida ya saa nne usikuUmechukua hatua gani ili solve that issue apart frrm osting here? Ungepiga hata picha ya hao machangudoa na mashoga maana wengine hatupo dar!