MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Katika hali isiyokua ya kawaida naambiwa hapa kituoni kuwa Polisi wa Jinsia ya KE anaruhusa ya kumpekua mwalifu mwanaume ila Polisi wa kiume hatakiwi kumpekuamwalifu mwanamke. je ni vigezo gani hasa vilitumika katika kuhalalisha hili?. Tambueni kuwa polisi wengine hawajaolewa na wanaweza kumpekua mhalifu katika hali ya faragha ambayo kwa bahati mbaya au nzuri ukute pia mtuhumiwa ni mkame wa muda mrefu.Sijui itakua aje hapa.WANASHERIA hapa vipi?. je hii ni sahihi au ni changamoto?