Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Hii nchi bila mkono wa rais hupati haki na rais kuweka mkono wake ni kupata sifa kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe unaanza kunitukana? Mboga mboga ndio nini?Hapa chadema imefikaje tena wewe mwana mboga mboga MOD Kwani siku hizi Matusi yanaluhusiwa Hapa au mnajifanya hamuioni?
Tafanyeje kama tunaonewa?Hii nchi bila mkono wa rais hupati haki na rais kuweka mkono wake ni kupata sifa kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu wa Mwanza huwezi kutetea jitu puuzi kama hili. Unajifalagua tu.Mod wakupige ban ya mwezi ili usijetukana tena sisi wana MWANZA Hatuna kawaida ya kumtukana tukana watu